Description
Safari ya Mariam na Simba: Tujifunze Ukarimu na Kushirikiana.
Je, safari ya kwenda kwa Bibi inaweza kumfundisha mtoto utamaduni, ukarimu na ushirikiano?
Ungana na Mariam akiwa na mwanasesere wake shujaa Simba, na binamu yake Jawadii katika safari ya kwenda Mtoni Kijichi, Tanzania kumtembelea Bibi yao.
Kupitia methali za Kiswahili, vyakula vya asili, nyimbo nzuri, na hadithi za Mtoni Kijichi, watoto watajifunza kuhusu wema, kushirikiana, na nguvu ya jamii.
MIAKA 3-8

Reviews
There are no reviews yet.